Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

Hii ni mwenzio akinyolewa ITOSHE KIFO NI MAWAIDHA TOSHA
 
Hii sababu wengi sana wanaitumia ila si kweli. Maana siku hizi watu wanashuhudia haya mitaani kwao. Sababu nyingi za vifo kutekwa, kuuliwa ghafla bila kosa,ajali mbali mbali,magonjwa ya ghafla hasa presha
Sio kama vijana zamani walikuwa hawafariki sana ila ni Technology imewezesha kupata taarifa nyingi za sehemu mbalimbali kwa urahisi

Na ndiyo maana unaweza kuambiwa kuwa kwenu kuna kijana amefariki ukiingia instagram ukakuta moshi huko kuna msiba wa kijana ukienda. Tena fb unakuta wamepost kijana wa Mara amefariki

We unabaki kushangaa mbona sikuhizi vijana. Wanafariki sana kuliko zamani kumbe hiyo zaman kulikuwa na ugumu wa kupata taarifa kama hizi ukilinganisha na sasa
 
Wengine waliwekewa mwilini cu na waimla.
 
Hizo double kick, visungura, konyagi na kvant mnazokunywa hovyo mnaachaje kufa.

Mtoto anakuambia "faza kaburi tuta tu" unadhani anapenda kuishi huyo?
 
Hizo double kick, visungura, konyagi na kvant mnazokunywa hovyo mnaachaje kufa.

Mtoto anakuambia "faza kaburi tuta tu" unadhani anapenda kuishi huyo?
Duh!
 
Back
Top Bottom