A
Anonymous
Guest
INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo la Kijiji cha Kiomboi, Wilaya ya Kibiti wakisafiri kutoka kisiwani Mafia tarehe 26 Januari 2026.
Watu wa Mafia wanadai kuwa viboti hivyo husafirisha watu kutokana na uhaba wa boti eneo hilo kwa kuwa MV Kilindoni haisafiri kila siku na inakikomo cha idadi ya watu hivyo watu wengi hususan wafanya biashara za dagaa husalia bila kupata usafiri hivyo wanalazimika kusafiri na viboti vidago ambavyo ni hatari.
Taarifa kutoka kisiwani Mafia zinasema kuwa boti ndogo ili ianze safari wasipunge watu 30 na kwamba mamlaka ya bandari inajua kuhusu usafiri huo wa njia za panya baharini.
hili ni bomu ambalo likilipuka vilio vitakuwa vikubwa kama mnahisi watu wa Mafia hawawahusu kwa taarifa yenu sasa hivi hata hao ndugu zenu wa bara wamekuja kwetu kutafuta maisha wanafanya biashara za dagaa kilio hiki hakitakuwa cha Mafia pekee yake ambayo mmekuwa mkiipuza kila siku kwa kutpfanya uwekezaji wa usafiri wa maana baharini.
Kuna shida gani ukaambwa Mzee Bakheresa akaleta boti moja watu wakapata usafiri wa haraka za salama.
Mutayoba amesema kufuatia ajali hiyo, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama, lilifanikiwa kuwaokoa abiria tisa wakiwa hai, huku miili ya watu wawili ikipatikana wakiwa wameshakufa mmoja wao akiwa ni mtoto mdogo.