Anana_
JF-Expert Member
- Dec 3, 2024
- 210
- 633
Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati??
Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya mgonjwa kujigeuza kichwa bila kujua(alikua unconscious)
Kwani thamani ya binadamu inabadilika? Ikiwa vifo vya wajawazito vinachunguzwa kujua tatizo na kukemea uzembe kwanini hii isifanyike kwa wagonjwa wengine?