Bulldozer lavamia soko la Beijing na kusababisha vifo na majeruhi

Bulldozer lavamia soko la Beijing na kusababisha vifo na majeruhi

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Video iliyosambazwa mtandaoni inaonyesha tingatinga likivamia soko huko Beijing, na kusababisha vifo na majeruhi.
Mamlaka za China bado hazijatoa taarifa rasmi kufafanua mazingira ya tukio hilo au kuthibitisha maelezo yake.
 
Back
Top Bottom