Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,289
Reaction score
5,964
Asalaam aleykhum..

Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao?
Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu?
Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani

Au wanazikana 🤣?
 
Kuna kipindi niliishi porini penye ndege wengi walikuwa wakila mahindi lakini sijawahi kumwona aliyekufa naturally bila kupigwa na manati
Screenshot_20260117-105834.jpg
 
Eneo la mapori Tanzania ukiacha maji ni kubwa kuliko eneo binadamu wanaishi, umbo la ndege ni sawa na chupa ya maji. Unategemea utaona kweli.
 
Wakiwa wagonjwa / kuzeeka ,hushuka chini nakutafuta mapango au vichaka vilivyojificha nakufia humo.

Wakishua bhanašŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Utakuwa kipofu wewe huwa huoni vizuri au unazungumzia hawa kunguru wa Dsm wabeba vyupi juu ya kamba!
 
Asalaam aleykhum..

Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao?
Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu?
Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani

Au wanazikana 🤣?
Sio ndege tu.
Viumbe vingi vikifa natural death, sio rahisi uone mizoga yake. Nature inamalizia kusafisha haraka. Kunakuwepo na viumbe vingine "vinapita na hiyo mizoga".
Umewahi kuona mzoga wa mjusi uliojifia wenyewe ndani ya nyumba? Hata mifupa huioni...
 
Sio ndege tu.
Viumbe vingi vikifa natural death, sio rahisi uone mizoga yake. Nature inamalizia kusafisha haraka. Kunakuwepo na viumbe vingine "vinapita na hiyo mizoga".
Umewahi kuona mzoga wa mjusi uliojifia wenyewe ndani ya nyumba? Hata mifupa huioni..
Hili swali gumu sana ndomaana wengi wanaleta majibu ya kitoto kwasababu hajui na hawana jibu.
Hapa mkuu umetupatia jibu zuri sana japo ingekaa vzr kma angetokea mjuzi mwingine akaingia deep zaid kwa faida ya wote.
 
Sio ndege tu.
Viumbe vingi vikifa natural death, sio rahisi uone mizoga yake. Nature inamalizia kusafisha haraka. Kunakuwepo na viumbe vingine "vinapita na hiyo mizoga".
Umewahi kuona mzoga wa mjusi uliojifia wenyewe ndani ya nyumba? Hata mifupa huioni...
Labda aliyebanwa na dirisha nlimuona mjusi juzi, halafu na mende wakifa nawaonaga
 
Back
Top Bottom