Bado hujaijua "Nature" kuna ndege kazi yao ni kuondoa mizoga "Scavenger" kama walivyo Fisi na Tai porini, ndege huyo ni kimjini mjini ni Kunguru.
Kunguru kazi yake ni kula Mizoga ya ndege wengine iwe ni kwa kuuliwa au kufa kifo cha asili. Ndio maana ni nadra sana kukuta mzoga wa ndege, kunguru hupita nao, chaap.
Mzoga ambao kunguru hali ni kunguru mwenzie. Ndio maana ni rahisi sana kukuta mzoga wa kunguru kuliko tetere. Hadi kuku kunguru anapita nao.