Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni.

Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha Polisi.

Majeruhi ni wengi, watu watatu au zaidi wanahofiwa kufa ajalini. Mungu awarehemu wafu wetu




IMG-20260101-WA0040.jpg
 
Back
Top Bottom