pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 536
- 2,213
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?