Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

kwangu mimi,
kuishi ni kristo na kufa ni faida zaidi.

ni muhimu kuepuka viherehere pale ambapo Mwenyezi Mungu anatwaa alicho toa.
in fact,
kusingizia wasiohusika na uumbaji pamoja na kifo, ni ushirkina wa kilofa kwa kiwango cha juu mno,
ukifa wewe au mimi kwa namna yoyote ile, waliobakai hai wanastahili kusonga mbele bila kubabaika na mizoga yetu ambayo itakua ni useless katika dunia hii.

Jiepusheni na porojo, uongo na uzushi ambao hauna maana yoyote ile kwa yeyote yule hasa katika kipindi hiki cha kwaresma na mwezi mtukufu wa ramadhani :1Head:
Hao wanajeshi ujanja wao ni kupiga raia wasio na silaha. Ukiona jeshi linatumika kwenye siasa za kipuuzi ujue wenyewe wameshajijua hawana uwezo, hivyo wanaficha udhaifu wao kwa kupiga raia wasio na silaha ili kuwahadaa walioko madarakani kuwa wana uwezo. Waambie hao mabishoo warudi kuja kuhakikisha ccm inabaki madarakani kwa shuruti, lakini hawana lolote mbele ya wanaume.
 
Inawezekana ikawa ni kweli...miezi miwili iliopita nikiwa kwenye shughuri zangu...pale kurasini/polisi ufundi zilipita gari za kiraia zikiwa zimebeba gari nyingine za kijeshi...ambazo zimepondeka vibaya mno nyingine zilikuwa na matundu ya risasi.. nyingine zilikuwa ni kama zilipinduka...nyingine zilionekana kama zimepigwa na mabomu...harafu gari hizo zote zilizo bebwa zilikuwa zimeng'olewa number plate.

ulikuwa msafara wa gari zisizo pungua 50 au zaidi...zilizopondeka vibaya mno...moyo ulikuwa unaniuma sana...sio mara yangu ya kwanza kushuhudia gari zikiwa zimepondeka lakini siku ile nilijikuta moyo umeniuma hadi chozi likanitoka...sikujua sababu ilikuwa ni nini hadi nikapatwa na uoga kiasi kile...leo ndio nimepata jibu😪😭😭😭

Mungu atuhurumie​
 
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.

Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.

Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.

Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
JESHI limesheheni UVCCM kwaajili ya kulinda genge lao la KIGAIDI la serikali HARAMU ya CCM, wacha wapelekewe moto waishie huko wote kabisa... Hakuna kuonea huruma Wajinga.
 
Back
Top Bottom