Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Mungu akusaidie sana usiangamie kilofa kwa kukosa maarifa,


Warumi 13
3 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.

hiyo ndio dawa ya vibaraka na mamluki malofa na wakiuka sheria :1Head:
Wakoloni walivyokuwa wanaitawala Africa kikatili, ile mamlaka ilitoka kwa Mungu, sio?
 
ROST
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.

Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.

Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.

Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
ROSTAM AZIZI anasema, mbantu kufa kwa ajili ya maslai ya Raia feki ni HESHIMA
 
Gentleman,
niko na wajibu wa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi yanayoendelea humu nchini na duniani kote,
na hiyo ni neema na baraka ya Mungu juu yangu na inayonifanya kua si mfu hata leo,

na nikuhakikishie tu gentleman kwamba,
MImi Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

Zab 118:17​

Hakuna kiumbe kisichokufa mkuu
 
Rwanda ana satellite 🛰️ 3 za mapping kwenye ‘low earth orbit’, zinachukua dakika 90 kuzunguka dunia kama zina intervals ya nusu kila moja ni sawa na kuwa na CCTV angani tu.

Kila move ya jeshi lako wanaona kwa jicho la mwewe huko porini hulipo, kwa advantage hiyo hata wanajeshi wachache tu na paramilitary wenye mafunzo ya week mbili wakipewa silaha sahihi wanashinda vita.

Wacha makomandoo watanzania waendelee kubeba magunia na kuvunja matofali udhani vita inapiganwa hivyo dunia ya leo.

Kagame ana CCTV ya angani anaona moves zako in real time.
 
Back
Top Bottom