Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Tofaut na nchi na viongozi ni nini??Nchi inatoaje oda? ni viongozi wa nchi ndio wanatoa oda wewe kenge.
Anaeongoza nchi iende vitan ni nani??? Wewe??
Tofaut na nchi na viongozi ni nini??Nchi inatoaje oda? ni viongozi wa nchi ndio wanatoa oda wewe kenge.
RabaikaKwa ujinga wa jw wacha wafyekwe tu
Mimi nimemsikiliza Ramaphosa akirihutubia Bunge hapa wiki iliyopita kuwa anataka kuongeza ulinzi wa jeshi ndani ya Nchi ili kupunguza crime na pia kuwaondoa wanajeshi waliopo DRC warudi SA ifikapo march kwenye SONA yao.."INCHI IKIAMUA" Nchi ni nani? I mean huyo/hao ambao ni NCHI wanaoamua, ni nani?
Gentleman nikuahidi ukifa nitamla mke wako, maana kufa ni faida 🤠🤠🤠kwangu mimi,
kuishi ni kristo na kufa ni faida zaidi.
ni muhimu kuepuka viherehere pale ambapo Mwenyezi Mungu anatwaa alicho toa.
in fact,
kusingizia wasiohusika na uumbaji pamoja na kifo, ni ushirkina wa kilofa kwa kiwango cha juu mno,
ukifa wewe au mimi kwa namna yoyote ile, waliobakai hai wanastahili kusonga mbele bila kubabaika na mizoga yetu ambayo itakua ni useless katika dunia hii.
Jiepusheni na porojo, uongo na uzushi ambao hauna maana yoyote ile kwa yeyote yule hasa katika kipindi hiki cha kwaresma na mwezi mtukufu wa ramadhani![]()
Hao masoja walikiuka sheria gani..?hiyo ndio dawa ya vibaraka na mamluki malofa na wakiuka sheria![]()
Tofautisha kati ya nchi na viongozikwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
🤠🤠 buku 7 ni mbaya sanagentleman,
mimi,
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA. Zaburi118:17
ni malofa tu ndio watakoangamia kwa kukosa maarifa![]()
relax na huna haja ya kumbwelambwela na porojo gentleman.🤠🤠 buku 7 ni mbaya sana

South Africa wapo vizuri sana, wana PMCs wa kutosha na wameendelea kwenye masuala ya security technology, wanavifaa vya kisasa, lakini nashangaa crime rate ndani ya nchi ipo juu... au wahalifu nao wanaji update?Mimi nimemsikiliza Ramaphosa akirihutubia Bunge hapa wiki iliyopita kuwa anataka kuongeza ulinzi wa jeshi ndani ya Nchi ili kupunguza crime na pia kuwaondoa wanajeshi waliopo DRC warudi SA ifikapo march kwenye SONA yao..
Kashapelekwa wanajeshi huko Cape Flat kupambana na Gangsters..
Hio mbona kawaida wanajeshi wengi wanafiaga vitani ila wanasema wamekufa wawili au mmoja ili kupunguza taharuki na wasiwasi wa kujiunga na jeshi,Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
South Africa wapo vizuri sana, wana PMCs wa kutosha na wameendelea kwenye masuala ya security technology, wanavifaa vya kisasa, lakini nashangaa crime rate ndani ya nchi ipo juu... au wahalifu nao wanaji update?
"Sina uhakika kuhusu hali ya uwezo jeshi letu la taifa SANDF" - Bantu Holomisa
View: https://m.youtube.com/watch?v=Z-YjKVTmIUo
Clement Manyathela anazungumza na jenerali Bantu Holomisa, Naibu Waziri wa Ulinzi na Maveterani wa Kijeshi kuhusu kunyimwa fedha kwa jeshi SANDF ambalo limesababisha hali yake duni ya sasa
Huyu kahaba amejua kuua Watanzania. Sijui ana roho ya namna gani malaya huyuView attachment 3545909
View attachment 3545908
View attachment 3545907
Kama ni habari za ukweli basi itakuwa ni furaha kubwa kwa Watanganyika, yaani hao waliowaswaga, kuwaua na kuzika maiti za vijana wetu kwenye mass graves huku wengine wakizikwa hai ndiyo iwe na wameswagwa na real soldiers kwenye real battlefield, let me enjoy my dessert.
Jakaya is pushing this zombie Samia into the abyss.
Huyu kahaba amejua kuua Watanzania. Sijui ana roho ya namna gani malaya huyu
View attachment 3546009
Nchi inaongozwa na viongoziTofautisha kati ya nchi na viongozi