Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

kwangu mimi,
kuishi ni kristo na kufa ni faida zaidi.

ni muhimu kuepuka viherehere pale ambapo Mwenyezi Mungu anatwaa alicho toa.
in fact,
kusingizia wasiohusika na uumbaji pamoja na kifo, ni ushirkina wa kilofa kwa kiwango cha juu mno,
ukifa wewe au mimi kwa namna yoyote ile, waliobakai hai wanastahili kusonga mbele bila kubabaika na mizoga yetu ambayo itakua ni useless katika dunia hii.

Jiepusheni na porojo, uongo na uzushi ambao hauna maana yoyote ile kwa yeyote yule hasa katika kipindi hiki cha kwaresma na mwezi mtukufu wa ramadhani :1Head:
Niko na swali kutoka katika hiyo comment yako.

Kwanini hujachagua kufa sasa?
 
Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Hapana lazima ushtuke, hii ina maana Samia na JK wanahujumu JWTZ ili iwe dhaifu na ikiwa dhaifu wataikontrol zaidi.

This is a wake-up call, arrest of JK and Impeachment of Samia is imminent
 
Mungu hana ushirika na wauwaji
Mungu akusaidie sana usiangamie kilofa kwa kukosa maarifa,

Warumi 13
3 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.

hiyo ndio dawa ya vibaraka na mamluki malofa na wakiuka sheria :1Head:
 
Niko na swali kutoka katika hiyo comment yako.

Kwanini hujachagua kufa sasa?
Gentleman,
niko na wajibu wa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi yanayoendelea humu nchini na duniani kote,
na hiyo ni neema na baraka ya Mungu juu yangu na inayonifanya kua si mfu hata leo,

na nikuhakikishie tu gentleman kwamba,
MImi Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

Zab 118:17​

Yani wameuza rasilimali za Watanzania kwa warabu wameingia tamaa na kongo acha wauwawe tu hakuna jinsi haya wake wa maskari ambao wanaume zenu wapo kongo tarifa ndio hiyo kazi kwenu tunajua jeshi watakanusha cause nao imekuwa tawi la mboga mboga tu kwa sasa
Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??

Wanao uawa ni watoto ,ndugu na jamaa zetu kwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
Au ukoo wenu wote hamna aliyepo jeshini
 
Huko aisee

SA baada ya kuona wanajeshi wao wanakufa tu bila sababu wameamua kujitoa mpaka march watakua wametoa kila kitu DRC hakuna order ya Nchi yeyote acha kudanganya watu Nchi ikiamua sio lazima kupeleka..
 
"INCHI IKIAMUA" Nchi ni nani? I mean huyo/hao ambao ni NCHI wanaoamua, ni nani?
 
Back
Top Bottom