maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
Mungu ikimpendeza awatwae wote waliojiweka madarakani.Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
Yaani ngoma kuanzia mwezi ujao ndiyo itaanza kuchanganyaKichwa cha habari umesema huu mwaka.. Hapa kwenye Content unasema "hasa tunapoikalibia 2030" Unanichanganya mkuu🤔 ni huu mwaka au tunapoikalibia 2030?
hivi wakuu hawa wa 2025 wanatofauti ipi na wa 2020?Mungu ikimpendeza awatwae wote waliojiweka madarakani.
Ni Uraisi tu hakuna menginenini kitawaua kwa wingi huo mkuu?
kwamba haya unayoyasema ni mtafaruku wa ndani?Ni Uraisi tu hakuna mengine
Wa 2025 wameloa damu za maelfu ya innocent people!hivi wakuu hawa wa 2025 wanatofauti ipi na wa 2020?
Tofauti ni awamu tu. Ila wote wameingia bungeni kwa hila.hivi wakuu hawa wa 2025 wanatofauti ipi na wa 2020?
naam , na awamu hii tuishukuru sana kwa kuondoa wasiwasi na kuweka wazi uhalisia wa uchaguzi ambavyo hua unafanyikaTofauti ni awamu tu. Ila wote wameingia bungeni kwa hila.
Vijana walioandama October 29 wakaishia kupigwa risasi lazima waje na maandiko mengi ya kujiliwaza kupitia kifo cha Lukuvi.Kichwa cha habari umesema huu mwaka.. Hapa kwenye Content unasema "hasa tunapoikalibia 2030" Unanichanganya mkuu🤔 ni huu mwaka au tunapoikalibia 2030?