vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Jinsi mkasa huu utakavyobadilisha Taifa la leo!

    Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka nakutaka kuitupa ukutani! lakini kwa kuishiwa nguvu aliishia kuigonga gonga kwenye mapaja yake akiwa...
  2. Kwa nini Tweeter ya Mama ina habari ya vifo na pongezi tu?

    Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k. Tunaweza kubadilika na sisi?!
  3. Mafuriko yasababisha vifo vya Watu 100 Sudan

    Mvua zinazoendelea Nchini Sudan zimesababisha mafuriko huku idadi ya vifo vya Watu ikifika 100 Hali ya dharura imetangazwa katika majimbo 6 yaliyoathiriwa vibaya ambapo Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema zaidi ya Watu 280,000 wameathiriwa na mafuriko katika majimbo 15 kati ya 18. Wananchi wengi...
  4. Ripoti: Chanzo cha vifo vya watoto 21 waliofia Bar Afrika Kusini, ni kukosa hewa

    Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu. Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
  5. Vifo vya matajiri Urusi vyaendelea, mwingine aanguka toka kwenye dirisha la hospitali

    Haijafahamika nani anayewaua na kwa nia gani, kwa kweli Putin anatumbukiza nchi pabaya... The chairman of Russia's Lukoil oil giant, Ravil Maganov, has died after falling from a hospital window in Moscow, reports say. The company confirmed his death but said only that Maganov, 67, had "passed...
  6. Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

    Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa Makundi hasimu yalipambana ndani ya mji mkuu wa Libya, #Tripoli, katika mapigano ya udhibiti wa serikali yaliyotajwa kuwa...
  7. Visa 406 pamoja na vifo 7 vya Monkey pox vyarekodiwa Afrika

    Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti, katika mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Afrika, amesema visa hivyo vimerekodiwa katika Nchi 11 na kuongeza kuwa kuna haja ya kuongeza mwitikio wa utambuzi na matibabu ya wakati wa magonjwa Katika Mkutano huo unaofanyika nchini Togo, washiriki...
  8. K

    SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  9. Vifo vya Surua vyafikia 157 Zimbabwe, maambukizi 2000

    Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 2,000. Waziri wa Afya wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa takwimu hizo ni...
  10. SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
  11. Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  12. S

    Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  13. L

    Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  14. Idadi ya vifo kutokana na ghasia za kikabila Sudan imefikia 65

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita. Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
  15. Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  16. WHO: Vifo Barani Afrika kushuka kwa 94%

    Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku, tofauti Vifo 970 kwa siku mwaka jana. Zaidi ya Maambukizi Milioni 11.8 na vifo takriban 250,000...
  17. Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  18. Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  19. Manyara: Basi la Mohammed Classic lapata ajali na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 26

    Basi kampuni ya Mohammed Classic ya kutoka Arusha-Kigoma imepata ajali Eneo la Gehandu Hanang mkoani Manyara. ============================== Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesema: "Ajali hiyo imetokea imetokea Kijiji cha Ming’enji Wilaya ya...
  20. #COVID19 Vifo vipya 21 vyaripotiwa Korea Kaskazini

    Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa. Korea Kaskazini ambayo ni mojawapo ya Nchi ambazo hazikuwa na kampeni ya chanjo ina kiwango cha chini cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…