vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  2. Sildenafil Citrate

    Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  3. A

    DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  4. bongo dili

    Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya. Kwa njia hii, ikiwa unamwagilia kichwa mara ya kwanza, damu huinuka kwa kichwa haraka na mishipa inaweza kupasuka. Matokeo...
  5. MK254

    HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  6. R

    Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  7. Mhafidhina07

    Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

    Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo. Miaka kadhaa baadae, mume wa...
  9. Juma Wage

    'RI CHUN-HEE' Mtangazaji wa vifo vya viongozi na silaha za Korea Kaskazini

    KOREA Kaskazini ni taifa huru baada ya kugawanyika kwa nchi ya Korea mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Awali eneo lote la Korea lilikuwa koloni la Japan kuanzia mwaka 1910 hadi 1945. Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Jeshi la Russia lilivamia eneo hilo upande wa Kaskazini na...
  10. TheForgotten Genious

    RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  11. J

    John Heche: Tuko Mgaza Chato tunagonga mkutano wa kwanza, tutafanya mingine minne

    Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche.amesema Wameshaingia Chato na sasa wanafanya mkutano wao wa kwanza Heche amesema Watagonga Mikutano mingine minne na hawaogopi chochote wako ngangari kinoma
  12. JanguKamaJangu

    Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

    Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023. Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa...
  13. Makonde plateu

    Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

    🇹🇿🇿🇦mzee baba 🇹🇿🇿🇦🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............🇹🇿🇿🇦💢💢 Ally Alawi amefariki tanzania 🇹🇿...... Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini 🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
  14. M

    Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

    WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media. Kwa miaka...
  15. benzemah

    Dereva wa gari lililogonga na kusababisha vifo vya watu sita Mwanza akamatwa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Oswald Kaijage (39) mkazi wa Buswelu kwa tuhuma za kusababisha ajali katika eneo la Kiseke mkoani humo na kupelekea vifo vya watu 6 na wengine 16 kujeruhiwa Ajali hiyo ilitokea siku Jumamosi nyakati za asubuhi katika eneo la Kiseke Wilayani Ilemela...
  16. and 300

    Vifo vya Viongozi vitufundishe UNYENYEKEVU

    Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu...
  17. benzemah

    Rais Samia kinara kupunguza vifo vya Mama na Mtoto Nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto. Amesema hatua zilizochukuliwa na Rais Dk. Samia ndizo zilizofanikisha matokeo ya sasa ya ongezeko la uzazi salama na...
  18. MK254

    Mabilionea wa Urusi, wandani wa Putin waendelea kufa vifo tatanishi

    Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani... Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao.... Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File At the age of 64, billionaire Igor Kudryakov, one of Russia's oligarchs, was discovered dead in his Moscow flat following a...
  19. JanguKamaJangu

    Magonjwa yasiyoambukiza huchangia 33% ya vifo nchini

    MAGONJWA uasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote Duniani ukilinganisha na vifo milioni 57 kwa...
  20. Sky Eclat

    Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

    Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia mlangoni ikawa shida kwako kutoka. Moto unaweza kuleta madhara mengine, moto wa hitilafu wa nyaya...
Back
Top Bottom