Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!!
Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa UNSUCCESSFULL numelipa mara moja siku ya kuiactivate...!!
Msaada hapo nifanyaje mana siku unaweza...
Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc
Naipataje mnaoijua ?
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
Wakuu,
Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake.
Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike.
Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF
Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya.
Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi.
Sasa...
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.
Vipi nyie wenzangu?
Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka.
Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu tusiingie mtandaoni? Internet ni uchumi.
Serikali isinyamaze, Jerry FANYA mamboo. Siamini kama ni...
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni...
Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point.
Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi?
Sidhani hata kama...
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama...
Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma. Akanieleza huduma ni ya uhakika kabisa, nikaangalia kwenye comment zake sikuona comment yeyote mteja...
Nimewiwaaa kuuliza hili
Hivi majuzi nilinunua gb 1.4, Ghafla nikashangaaa siku mbili siwezi fungua website wala chat na WHATSUP
Nikasema isiwe taabu nikavuta niwezeshe, nikachungulia asubuhi nikawa na MB kadhaa. Asubuhi nikasema nikimonite naona na mb 765 mpaka tar 11 jun na mbs 650 mpaka...
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000.
Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo.
Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo.
Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya Waziri na NHIF yameshindwa kupata muafaka katika suala zima la kitita cha bei mpya zilizopendekezwa...
Anonymous
Thread
binafsi
hospitali
kutokana
mgomo
nhif
vifurushi
watangaza
wateja
wenye
Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
Katikati mwa miji nakutana na wabibi wengine wanakuwa ombaomba wamefunga mizigo mgongoni ni kama vipande vya nguo kwenye kanga unakuta anatembea nao huo mzigo mchana kutwa, ile inakuwa ni kitu gani? Mbona kama ni mambo ya kishirikina wanakuwa nayo?
Mimi naogopa sana kumsaidia bibi wa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.