vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joseph_Mungure

    Kwanini hakuna usimamizi kwenye Bei ya Vifurushi vya Mitandao ya simu?

    Habari ya asubuhi wana JF. Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo. Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
  2. Njowepo

    TCRA saidieni kwenye hili la vifurushi, hali tete

    Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo; ~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB. ~ 50,000 Oct Package nilipata...
  3. adriz

    Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

    Moja kwa Moja. Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
  4. MakinikiA

    Ufafanuzi kuhusu kupunguzwa kwa vifurushi (bundles)

    Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai. Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
  5. Sol de Mayo

    Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu. Halotel 1500 MB 750 Halotel 2000 GB1 Tigo 1500 MB 650 TIGO 2000 MB 800 N.k N.k In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
  6. ommytk

    Vita Ukraine inazidi kututesa vifurushi vya simu vimepanda tena

    Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
  7. FRANCIS DA DON

    Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk. Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
  8. NetMaster

    Vifurushi vya mitandao ya Simu vimepunguziwa ujazo, bei zimepanda zaidi, hali ni chungu

    Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi. niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
  9. M

    Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi. Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229 Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
  10. Sozo_

    Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  11. BARD AI

    Maxence Melo: Bei za vifurushi vya internet ni ghali, na huduma ni mbovu. TCRA watetea kupanda kwa bei

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema kupanda kwa Bei ya Data hakukuwa na utaratibu mzuri na pia huduma imekuwa mbovu kwa gharama kubwa zaidi, jambo ambalo linaua ndoto za wabunifu wengi wanaotumia Mtandao. Melo amesema hayo wakati akijibu utetezi wa Bei Mpya za Vifurushi...
  12. Wand

    SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
  13. Greatest Of All Time

    DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

    Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui. PIA SOMA - BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi --- DStv Wapinga na kutoa...
  14. Suley2019

    Mchanganuo wa bei za vifurushi vya mitandao mbalimbali

    Tazama hapa mchanganuo wa bei za vifurushi kwenye mitandao mbalimbali nchini
  15. M

    Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani. Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni: Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania –...
  16. N

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  17. Nobunaga

    Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

    Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma. Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko. Je, na...
  18. James Hadley Chase

    Tetesi: TTCL mbioni kupandisha gharama ya vifurushi

    lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao. Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅 NB; Ukipita...
  19. Jawai

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka...
  20. R

    Gharama za bando kubaki vilele wakati vifurushi vinapunguzwa kila kukicha tunaoumia sisi

    Hivi karibuni tumeona bei za bando zikiwa zimebaki vile vile lakini vifurushi vinanywewa na kubaki na kiasi cha data ambacho kiuhalisia hakiendani kabisa na gharama tunayolipia. Mfano kwa watumiaji wa mtandao wa Halotel, ulikuwa unanunua kifurushi cha intaneti cha mwezi mmoja kwa kiasi...
Back
Top Bottom