vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Tozo za kwenye vifurushi vya simu ziangaliwe upya

    Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi. Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
  2. sky soldier

    Hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinakwenda kuangusha Wasanii

    Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii...
  3. DR SANTOS

    Mabadiliko ya vifurushi: Kwa staili hii ushindani utatoka wapi?

    Habari wana jamvi Tanzania ndio nchi ambayo tunanunua bando kwa bei rahisi sana ukilinganisha na mataifa mengine, kumekua na tendency kubadili huduma za vifurushi hasa internet kwa makampuni hilo halina tatizo kwani lengo lao ni kuongeza income. Mfano kupunguza idadi ya megabyte kwa asilimia...
  4. TTCL Customer Care

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  5. Lycaon pictus

    Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  6. R

    Jamani kwenye nafuu ni mtandao gani vifurushi vya simu

    Naona Tigo size yako wametoka min 180 to 60, 2GB to 1.5 GB, 100 sms to 20 for seven days at 2500 Tujuzane kwenye nafuu ni wapi, ni mtandao gani?
  7. MSAGA SUMU

    Wakuu vifurushi kwenye mtandao wa Azam vimekaaje?

    Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake. Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable. Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa? Natanguliza shukrani
  8. Ferruccio Lamborghini

    Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  9. Teko Modise

    Tetesi: Azam Tv kupandisha bei vifurushi

    Baada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya mlolongo wa kodi walizopanfishiwa. Je tutafika?
  10. Prof Koboko

    Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

    Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
  11. Frustration

    Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  12. Christopher Wallace

    Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

    Mitandao ya simu nchini Tanzania hatimaye imepandisha vifurushi vyake kimyakimya bila kutoa taarifa kwa wateja wake. Awali mitandao hiyo ilitangaza kubadilisha vifurushi lakini walighairi baada ya muda. Ila kwasasa wameamua kupandisha kimyakimya! Vifurushi vilivyobadilika hasa ni vile vya...
  13. K

    Mitandao ya simu ifikirie kuleta vifurushi vya kushare

    Ni wakati mwafaka sasa kwa mitandao ya simu kuleta vifurushi ambavyo mteja atapewa option ya kulist namba za watu anaotaka watumie kifurushi alichonunua kwa pamoja. Yani kama nina mama yangu kule kijijini, mke au rafiki nikinunua kifurushi niwawezeshe kukitumia. Hii itaondoa uhitaji wa Hotspot...
  14. the numb 1

    Hapa DSTV wanapoteza wateja na mvuto wa biashara

    .
  15. Planett

    Ving'amuzi navyo vyaanza kupandisha bei za vifurushi

    Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you [emoji119][emoji119]
  16. Samcezar

    Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

    Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.
  17. mshale21

    Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Wakuu habarini, Leo umekuwa Ni mwendo wa kutumiwa taarifa kuwa tar 16/8/2021 kutakuwa na mabadiliko ya Vifurushi! Ikumbukwe miezi kadhaa iliyopita, sakata la mabadiliko ya Vifurushi lilitrend Sana nchini, huku wananchi wakilalamikia kwa nguvu zote ukandamizwaji ulioonekana kupita kiasi, suala...
  18. Greatest Of All Time

    Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

    Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha. Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda...
  19. K

    TCRA mmeridhika na wizi wa vifurushi unaofanywa na Vodacom? Kifurushi Cha 1.2GB kinaisha less than 24hrs for normal chatting?

    Makampuni ya simu Uhuru na mamlaka mnazojitwalia za kuwaibia wananchi kwa kutukomoa au kurejesha fedha za hasara mlizopata kipindi Cha nyuma si sahihi. Nimejiunga kifurushi cha wiki 1.2GB cha Vodacom jana saa sita kasoro usiku. Then nikazima data hadi saa nne asubuhi. Nimewasha data since saa...
  20. Anonymous

    Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
Back
Top Bottom