vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabutupu

    Suala la vifurushi ni siasa na zinakera kwa wawekezaji

    Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama ndogo ya internet na mawasiliani kwa ujumla Africa Mashariki. Pili huwezi kulazimisha bei kwenye soko...
  2. Dr hyperkid

    Vodacom wasalimu amri

    Bado Bei ya GESI Tutaheshimiana tu
  3. M

    Airtel acheni michezomichezo katika Vifurushi, Wananchi tunaona!

    Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu. Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama. Tunaitaka mitandao...
  4. MPUNGA MMOJA

    TCRA: Sasa vifurushi vimerudi kama awali

    “Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuwajulisha kwamba sasa vifurushi vya mawasiliano ya simu vimerudi kama awali, endapo kuna Mwananchi bado anapata changamoto ya huduma hii tuandikie TCRA ==== Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaarifu kuwa vifushi vya mawasiliano...
  5. K

    Gharama za vifurushi jamani zinaumiza Sana Tunaomba watawala Karibu kuliona ili kwani sisi wanyonge ndo tuna teseka.

    Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini . Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao. Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
  6. PendoLyimo

    TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

    Katika kutii agizo la Serikali lilitolewa April 2 la kusitisha gharama mpya za vifurushi, TTCL Corporation April 3 ilianza na kukamilisha mchakato wa kurejesha gharama za zamani za vifurushi"Kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu Tunapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa shirika...
  7. I am Groot

    Halotel tunashukuru kwa kurudisha vifurushi vya zamani, sisi wateja hatuvitaki, turudishieni vile vipya.

    Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu. #kamati ya roho mbaya.
  8. beth

    Mbunge wa Kilolo ahoji ni lini Serikali itashusha gharama za vifurushi

    Mbunge wa Kilolo, Justin Nyamoga akiwa Bungeni Dodoma leo amehoji ni lini Serikali itarudia mpango wake wa awali wa kushusha vifurushi ili Watanzania wavipate kwa bei nafuu. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amesema changamoto ya Biashara ya Mawasiliano...
  9. BoManganese

    Vifurushi vya internet: Ina maana Watanzania tumechezewa akili?

    Nawasalimu wanajukwaa wote kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pia nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukifu wa Ramadhani. Niende moja kwa moja kwenye topic, lengo la uzi huu ni kuhusu hili suala zima la vifurushi au mabando katika mitandao ya simu. Kama tunakumbuka kuna...
  10. Mlalamikaji daily

    Kuhusu vifurushi vya simu asilaumiwe Waziri Ndugulile au makampuni ya simu bali Serikali

    Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
  11. M

    Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

    Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu. Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa. TCRA hongereni...
  12. C

    Hivi Mtandao wa Vodacom ndio wamegoma kurudisha vifurushi katika zile bei za mwanzo au bado tusubirie tu

    Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki. Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna...
  13. x - mas

    Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  14. haszu

    Suala la Vifurushi ndo limeshapita! Vodacom, Tigo na Airtel wameitunishia misuli Serikali

    Ukiangalia marekebisho wanayosema wamefanya ni ujanja ujanja tu, hakuna kilichofanyika, kifupi hii naona ndo imeshapita tayari tuendelee kuisona namba.
  15. Victor Mlaki

    Viongozi mnajisikiaje kuwahadaa Wananchi kwenye bei za bidhaa na huduma mbalimbali?

    Viongozi mara kadhaa sasa wamekuwa wakiuhadaa Umma juu ya bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Leo kila kitu kimepanda bei karibu mara mbili jambo ambalo ni mzigo kwa Mwananchi wa kawaida. Sukari ilipigiwa kelele lakini bado bei iliyobaki kuwa juu mpaka leo, mafuta ya kupikia ya alizeti tulikuwa...
  16. haszu

    Watanzania ni watu wa matukio, tumeshasahau kuwa vifurushi havijashushwa na walioshusha kuna uhuni pia

    Sasa upepo wote umehamia kwa Samia, tumesahau kabisa kua serikali imetoa agizo lakini hadi leo kuna mitandao haijatekeleza na hata. Tunataka ile menu ya zamani, kwa nini hatuna ajenda yani tunafuata tu upepo? Tunakubari vipi? Yaani ulikuwa unanunua GB 7 elfu 10 kwa mwezi, leo unapewa GB 2.5...
  17. R

    Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

    Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote. Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
  18. Mtoto wa nzi

    Kuunganishwa Vifurushi

    Naonaga tuuu mitandaoni tunakuunganisha vifurishi mpaka gb 100 kwa mwezi mara miezi ..hivi inaukweli kiasi gani!!?? Maana halinni tete
  19. Mtini

    Kuhusu vifurushi: TCRA, Ndugulile na Serikali mmetufanya Watanzania kama watoto wadogo

    Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia. Kifupi Serikali...
  20. R

    DG Mpya wa TCRA, hili la exorbitant prices za vifurushi litakuondoa kama hukulitatua kwa umakini

    Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini! 1. Kwa muda mrefu wateja wa simu wamelalamikia wizi wa makampuni ya simu kwa wateja, mara zote James Kilaba umetia pamba kwenye...
Back
Top Bottom