vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha. Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv. Wakati...
  2. adriz

    Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

    Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja. Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka. Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
  3. Stanboy

    Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  4. N

    Airtel wapandisha vifurushi vya internet

    Hakuna waziri anayevutia wawekezaji kupata faida kwenye biashara ya DATA kama Nape nnauye, kijana anapiga kazi aiseeee Nimeamka nakuta kifurushi cha 1500 nilichokuwa naapata gb1 kwa sasa ni mb 850, hapo ukilalamika utasikia Nape anasema TCRA fatilia hao, utasikia mnalalamika nini wakati...
  5. Chakaza

    Kampuni za simu kuongeza bei kiholela ni kuidharau Serikali au kuna ubia na Viongozi?

    Hakika hii sasa ni kero ambayo inaonesha Serikali ya CCM imeshindwa KABISA kusimamia kampuni za biashara hususani za Simu na yanafanya chochote watakacho na hakuna cha kuwafanya. Nimeshtuka asubuhi hii kukuta wameongeza tena gharama za vifurishi na kwa speed hii hadi kufikia December...
  6. Zionist

    Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

    Mmepunguza MBs za kutosha
  7. Faana

    Airtel wameshusha bei za vifurushi?

    Hapo mwanzo waliuza hiki kifurushi kwa shilingi 1500 naona sasa ni 1,000 Sent: *149*99# Received: 0. Balance/Swahili 1. Special Offer/UNI 2. SMS 3. All Networks 4. Airtel-Airtel 5. Internet 6. Combo 7. Unlimited Bundles n Next Sent: 2 Received: Select Bundle 1 .200Tsh=200SMS 24hrs 2...
  8. Nyendo

    Unanunua MB utumie kote, SMS inakuja umenunua MBs za WhatsApp. Wanaomlinda mlaji wako wapi?

    Salaam wana jukwaa, Kumekuwa na tabia ambayo kwa sasa imekuwa sugu sana kwa hizi kampuni za mawasiliano kuamua kupanga bei za vifurushi na kuvibadilisha wanavyoona wao bila hata kuangalia mlaji au mteja wao wanampa usumbufu wa kiasi gani. Kero hiyo haiishii tu kwenye kubadilisha bei za...
  9. Lycaon pictus

    Hivi vifurushi ni ofa tu. Bei ya internet Tz kwa kutumia salio ni ipi?

    Eti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
  10. B

    Nchini wapo Watu wananunua vifurushi na wanatambua kupanda Kwa Bei, wapo wananunuliwa vifurushi lazima tuwepe Bei ya Jana na Leo waone tofauti.

    Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
  11. Teko Modise

    Vodacom kubadili vifurushi vyake

    Nimetumiwa sms na voda sasa hivi, siku chache zijazo vifurushi vyao vitabadilika. Hawajaweka wazi kama wataongeza au watapunguza? Tutarajie nini?
  12. Replica

    Athari ya vita ya Urusi yafika Azam TV, yapandisha bei ya vifurushi

    Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei...
  13. Ferruccio Lamborghini

    Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    Noma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi. Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta...
  14. Bani Israel

    Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  15. Nafaka

    Sielewi model ya vifurushi vya internet vya mitandao ya simu

    Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti. Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi. Kwa mfano: Airtel unakuta 1500 unapata 1gb Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
  16. Lycaon pictus

    Vifurushi vya Tigo vinaisha haraka kuliko vya voda

    Natumia tigo na voda. Naweza nikanunua GB tatu za Voda na zikakaa muda mrefu hadi unaridhika, hata siku tatu zinafika. Naingia Ista, YouTube nk. Lakini nikinunua GB 3 za tigo hata siku zinaweza zisimalize kwa matumizi hayohayo. Na wewe umeexperience hii ya kifurushi cha Tigo kuisha haraka...
  17. sky soldier

    Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
  18. Semahengere

    Airtel mnatuibia vifurushi kwa kutupa fake bundle

    Habari wadau, Kuna mchezo MCHAFU unachezwa na mtandao wa Airtel kila mtumia Airtel hapa JIJINI Arusha anakutana na changamoto hii Ukininua bando wakishakutumia text kuwa umepatiwa kifurushi Cha Dak 130 na GB 1 na sms labda 30 kwa wiki moja, wanakusubiri uanze tu kutumia. Ukipiga simu moja tu...
  19. sky soldier

    Jinamizi la kupandisha bei vifurushi linaitafuna sanaa yetu, views milioni zinatafutwa kwa tochi

    Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma kwenye sekta ya sanaa. Views milioni zamani ilikuwa ni ishu ya kawaida mno, kwa sasa watu wanawasha data kwa machale achilia mbali kuzama youube kwa manati. Tukumbuke kwamba youtube views ilikuwa moja kati ya silaha kubwa mno kufanya...
  20. Tuelimishanee

    Bei kubwa vifurushi vya data mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    📍 Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa...
Back
Top Bottom