Ndugu Faustine Ndugulile hapo zaidi ya miezi minne ulikuwa unashughulikia kero zinazo wakabili watanzania hasa juu ya wizi wa vifurushi vya simu. Maana watu wengi walikuwa wakilalamika kuwa wakinunua vifurushi hata kama hawajatumia sana vilikuwa vinateketea kama karatasi inachomwa moto...
Nafikiri sote tunakumbuka kilichofanyika baada ya kupanda kwa gharama za mawasiliano, tulilalamika waziri akijitokeza na kutulaghai yuko pamoja na sisi gharama zitashushwa ifikapo mwezi April cha kushangaza vilibaki vilevile na sisi tukaridhika.
Mwezi April ndo huu gharama zimeongezwa mara...
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
VIFURUSHI; Ahsante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu
Nani kama Mama? Hakuna. Hakika hakuna kama mama.
Kilio chetu cha kutwa moja tu kimemfanya mama atoe maagizo fasta kwa TCRA kushughulikia kupanda kwa gharama za vifurushi.
Awali, changamoto kama hizo zilikua zikishughulikiwa baada ya...
Naomba niseme nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa uamuzi wa kupandisha vifurushi ulikuwa ni wa Waziri labda na TCRA tu kwasababu hili ni jambo kubwa ambalo siamini kama Waziri anaweza kulifanyia maamuzi peke yake.
Hili jambo halina tofauti na lile la kikokotoo ila tatizo watanzania ni wasahaulifu...
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
Bei za virushi hazijaongezeka, zimepaaa, thus ukipima percentage change ni zaidi ya 200%. Je kutakuwa na matokeo gani kiuchumi
1. Ikumbukwe kuwa 'services' imekuwa ikiongezeka kila uchao na huku 'production' ikiwa katika hali fulani tofauti. Kikubwa ni kuwa kulikuwa na huduma na hata wanaouza...
Nimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.
Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo...
Nafahamu kwamba huu mchakato wa kupandisha gharama za vifurushi ulianza tangia zamani, nafahamu pia moja ya mbinu za kisiasa ni kutengeneza tatizo na kulitatua mwenyewe hata kama ulikuwepo kwenye jopo la waliofanya maamuzi kufikia kupatikana kwa tatizo hilo.
Serikali ina kiongozi mpya ambaye...
PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA.
👉🏿 Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote.
👉🏿Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida
👉🏿Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya...
Hii trend ya hivi sasa ya gharama za vifurushi hatukuiona ikipigiwa kelele awamu iliyopita, lakini ninyi mlikuwa hapohapo kwenye nafasi mlizonazo Sasa.
Ukiona kelele zinakuja kwa kiasi hiki ndani ya saa 24 tambua aidha Wapo watu hasa watoa huduma wameamua kwa makusudi kutingisha kiberiti kwa...
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu...
Ndugu zangu wa (UWABATA),Chama Cha wanaume bahiri Tanzania hili swala tusiliache lipite hivihivi!,moja kwa moja Kama UWABATA limenishika na kuniteteresha kiuchumi!
Ktk pitapita nimeona kweli vifurushi vimepanda bei tena ya kutupwa!.
Kwa kufuata kauli aliyoitoa mama yetu samia rais wa jamhuli...
Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu.
Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka...
Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.
Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.
Serikali lione hili.
SAUTI YA WATANZANIA
Katika kukabiliana na malalamiko juu ya huduma ya vifurushi zinazotolewa na kampuni mbalimbali za simu nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetengeneza kanuni ndogo zitakazoratibu utoaji wa huduma hizo.
Kuandaliwa kwa kanuni hizo kumekuja kufuatia maoni 3278 yaliyotolewa na...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.