Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na...
Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni.
Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika.
Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako.
Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira...
Hello JF
Nimekuwa nikiona watu wengi waliozaliwa vijijini na kuja mjini kutafuta maisha,wengi wao huwa wanafanikiwa sana kimaisha. Mfano angalia watu kama akina Magufuli, Nyerere, Zitto kabwe, Reginald Mengi, Mkapa, Gachuma na wengine wengi tu
Literally walikuja mjini wakiwa tayari ni vijana...
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba.
Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020.
Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni:
1. Mtwara Mjini
Hassan Seleman (CCM) -...
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.
Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:
Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.
Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja...
HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni.
Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE VIJIJINI
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha...
NKOME, GEITA VIJIJINI
WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA"
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
BUKOBA VIJIJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji...
Unakuta eti Serikali wanatenga bajeti kwa ajili ya kulipa makampuni binafsi ya mawasiliano ili waende wakasimike minara kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibishara hasa vijijini, hii ni sahihi?
Kwanini wasiwakopeshe hizo pesa hata kama ni kwa 0% intrest rate, yaani warudishe baada ya miaka...
Habari wadau
Kuna swali najiuliza sana.. kuanzia kijijini kwetu wale wazee walevi sana wengi bado wapo hai kazi kusumbua tu vilabuni kwa makelele na wana miaka zaidi ya 70 kibao
Kuja mtaani dar pia . Wale vijana wa zamani wategemea nyumba za urithi wengi wao walevi walevi tu.. wao ni double...
17 September 2020
Mbeya Vijijini
Tanzania
Kamanda China wa China Joseph Mwasote
Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa...
TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" NDALA NZEGA VIJIJINI
Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi
ya kilimo.
Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza upatikanaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.