vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. chuki

    Uchaguzi 2020 Boniphace Mwita Getere Mikononi mwa TAKUKURU. Ni Mbunge anaemaliza muda wake Bunda Vijijini

    Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo. Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta...
  2. S

    Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili. Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
  3. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Bashiri Ally mwenyekiti CUF wilaya ya Ubungo atia nia kugombea ubunge jimbo la Handeni Vijijini

    Mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo CUF Bashiri Ally Atia nia ya Kugombea Ubunge Jimbo La HANDENI VIJIJINI katika Uchaguzi
  4. Mzukulu

    Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

    Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina. Je, ni kweli kwamba..... 1...
  5. Gily Gru

    Swali kwa mliokulia vijijini: Mlivyokuwa mnasikia Dar mlidhani ikoje?

    Nikiwa moshi tunazungumza na baba mkubwa habari za Manzese darajani, kuna dogo akadandia “pale Manzese kuna mamba wengi sana”. Kichwani nikafikiri anamaanisha labda Ruvu au Wami. Kwa watu ambao tumekulia Dar huwa tunaiona ya kawaida sana ila kwa watu waliozaliwa nje kabla hawajaja Dar wanapaona...
Back
Top Bottom