vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchaguzi 2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

    Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
  2. Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  3. Uchaguzi 2020 Shamsia Aziz Mtamba aisimamisha Mtwara Vijijini, Wananchi wasema Jimbo hili la Mtwara Vijijini unasubiri kuapishwa

    SHAMSIA AZIZ MTAMBA ALIVYOSEPA NA KIJIJI MTWARA VIJIJINI Mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini Mhe. Shamsia Aziz Mtamba ameimamisha Mtwara Vijijini kwa kukusanya wananchi wa Jimbo hilo waliokuja kumsikiliza Mbunge huyo ambaye anasubiri kuapishwa. Pia, Mhe Shamsia amemuombea kura mgombea...
  4. Uchaguzi 2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

    Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi. ====== Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La. Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote...
  5. Mchungaji Lukere ajiunga na Chama Cha Wananchi (CUF) Kigoma Vijijini, akabidhiwa kadi na Mgombea Ubunge Kiza Mayeye

    MCHUNGAJI LUKERE AJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIGOMA VIJIJINI. HABARI Mchungaji lukere amejiunga wa chama Cha wananchi CUF katika kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini. Mchungaji lukere amejiunga na chama Cha CUF mapema Leo na kukabidhiwa kadi na makamu mwenyekiti wa juke taifa...
  6. Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa usambazaji wa Umeme Vijijini Barani Afrika

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. Mhe. Majaliwa aliyasema hayo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa...
  7. A

    Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

    Ndugu zangu, Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura. Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu...
  8. Uchaguzi 2020 CHADEMA kuwa na nguvu baadhi ya miji michache tu Tanzania na kutokuwa na nguvu vijijini Tanzania ndio siri yao ya kushindwa uchaguzi ujao

    Miaka yote Chadema imekuwa ikijijenga kwenye miji michache mno Tanzania Ilichagua vimiji vichache tu kwa mikoa michache tu ya Tanzania na kujijenga na kuacha miji mingine ya mikoa. Ukienda baadhi ya mikoa wanakosema Wana nguvu unakuta mkoa una miji mfano minne wanachagua mji mmoja wanajijenga...
  9. Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

    CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita. Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako...
  10. Uchaguzi 2020 Wajumbe wa Bukoba Vijijini mmekosa heshima, haiwezekani mumpe kura Rweikiza, sasa subirini kichapo kikali kutoka kwa Conchesta Rwamlaza

    Sisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali. Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani. Mazoea mnayoleta mtayajutia Hugo Rweikiza kafanya jambo gani zuri , hata barabara moja haipo Tangia kumpa ubunge ...sasa...
  11. Uchaguzi 2020 Malalamiko: Ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi jimbo la Handeni Vijijini

    KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 50 DODOMA 22/07/2020 Ndugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally YAH: UKIUKWAJI WA TARATIBU ZA UCHAGUZI JIMBO LA HANDENI VIJIJINI Husika na kichwa cha Habari, Kwa heshima kubwa kwanza tunakupongeza kwa kusimamia taratibu, kanuni na...
  12. Makamu Mwenyekiti wa JUKE Taifa, Kiza Mayeye aliteka Jimbo la Kigoma Vijijini

    HABARI Makamo Mwenyekiti wa JUKE TAIFA Mhe. Kiza Mayeye aendelea na Ziara yake ya Ujenzi wa Chama Katika Jimbo la Kigoma Vijijini. Atembelea kata kwa Kata Katika Jimbo Hilo na kufungua matawi na kutoka kadi kwa wanachama wapya wa CUF. Pia, Mhe. Miza Mayeye Ndiye Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma...
  13. Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
  14. Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  15. J

    Uchaguzi 2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya kugombea Ubunge. Bungeni patanoga huku...
  16. Mbunge wa Viti Maalum CUF akabidhi Computer na Printer kwa ajili ya Uchaguzi Handeni Mjini

    MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI #HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa. #SoniaMagogoTenaMjengoni
  17. S

    Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
  18. J

    Uchaguzi 2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

    Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa. Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa. Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa...
  19. Miundombinu mibovu ya barabara vijijini

    Serikali inatuimiza tujiajiri kila uchao, wengi wetu tumekuja vijijini kwa kutafuta fursa hiyo, lakini tunakumbana na changamoto ya barabara mbovu ajabu! Si hilo tu, hata huduma nyingine kama za afya ni mtihani mkubwa sana.
  20. Mafuta yaanza kuadimika, vituo vingi havina mafuta bei yafika 3000 huko ifakara, igunga, morogoro vijijini

    Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu. Ewura saidia please.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…