Nikiwa moshi tunazungumza na baba mkubwa habari za Manzese darajani, kuna dogo akadandia “pale Manzese kuna mamba wengi sana”. Kichwani nikafikiri anamaanisha labda Ruvu au Wami. Kwa watu ambao tumekulia Dar huwa tunaiona ya kawaida sana ila kwa watu waliozaliwa nje kabla hawajaja Dar wanapaona...