vikosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Timu zenye vikosi vyenye thamani kubwa zaidi katika Kombe la Dunia 2022

    Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa. Uingereza ina thamani ya Euro Bilioni 1.5 (Tsh. Trilioni 3.5), Brazil inafuatia kwa kuwa na thamani ya Euro Bilioni 1.45 (Tsh...
  2. BARD AI

    Serikali yafuta Vikosi Kazi vya ukusanyaji mapato TRA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini. Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
  3. Boss la DP World

    Vikosi vyetu vya Zimamoto na Uokoaji ni kwaajili ya Maonesho tu pale Uwanja wa Taifa?

    Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio. Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
  4. sanalii

    Sherehe za Uhuru zisifanyike au kusiwe na vikosi vinapita pita

    Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
  5. S

    Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  6. Shujaa Mwendazake

    Taiwan yarusha ndegevita baada ya kugundua vikosi vya China vilivyo karibu

    Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala. Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na vyombo vya majini vilivyogunduliwa karibu na kisiwa hicho kinachojitawala, hii ikiwa ni pamoja na ndege...
  7. Lady Whistledown

    Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  8. beth

    Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais. Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
  9. beth

    Ukraine: Vikosi vya Urusi vyadhibiti eneo la Lysychansk

    Jeshi limethibitisha kuondoka katika Mji wa Mashariki wa Lysychansk unaoripotiwa kuwa mikononi mwa Wanajeshi wa Urusi. Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya Ukraine vitarejea, na silaha za masafa marefu zitawawezesha kudhibiti eneo hilo Awali, Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu...
  10. EINSTEIN112

    Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa

    Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
  11. Lady Whistledown

    DRC Yaishutumu Rwanda kutuma vikosi vyake nchini humo

    Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo ukichochea ghasia mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi la DRC lilidai kuwa wanajeshi 500 waliovalia sare za...
  12. U

    Vikosi vyetu vya leo CCM Kirumba!

    Tazama orodha imeambatanishwa Karibuni kwa Maoni Mtanange kuanzia saa 9:30 alasiri
  13. Lady Whistledown

    Vikosi vya Majeshi ya Tigray vyaondoka Mkoani Afar

    Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa chakula unaohitajika sana unaweza kuwasili Tigray. Vikosi hivyo vimekuwa vikishikilia Mkoa wa Afar...
  14. L

    Vikosi vya kulinda amani vya China vyachangia amani na usalama barani Afrika

    Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu wake wa kimataifa, na kutoa mchango muhimu katika kudumisha amani na utulivu duniani, hasa barani...
  15. K

    USHAURI: Rais Samia safisha Polisi na vikosi vyote vya usalama vinavyotuhumiwa kuteka na kuua watu

    Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
  16. figganigga

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  17. beth

    Ufaransa yatangaza kuondoa vikosi vyake Nchini Mali

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Vikosi vya Nchi hiyo vitaondoka Mali baada ya takriban miaka 10 ya kushirikiana na Wanajeshi wa Taifa hilo Inaelezwa uamuzi huo umekuja baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia, huku kukiwa na ongezeko la uhasama kutoka kwa Utawala mpya wa...
  18. Analogia Malenga

    Denmark kuondoa vikosi vyake Mali

    Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo kwa Ufransa ambayo inaongoza operesheni ya pamoja dhidi wanamgambo wa kiislamu nchini humo. Kwa...
  19. beth

    Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  20. De Opera

    Vikosi vya Simba na Yanga na jezi namba zao 2021/2022

    Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. 🙏🙏🙏
Back
Top Bottom