viongozi vilaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  2. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
  3. JamiiForums Tanzania Ilikuaje watu waliopata zero form six na form four wakapata nafasi za juu kisiasa?

    Tanzania tunabidi kuwa makini. MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili. Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani. Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…