1 TIMOTHEO 2
Mafundisho kuhusu sala
1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza...
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.
Ushauri kwa Mh. Rais...
Mhe. Gwajima anatumia nyumba ya ibada na amekuwa akitumia nyumba ya ibada kutekeleza mahitaji yake ya kisiasa ikiwemo kudhalilisha watu. Lakini pia mara zote amekuwa akienda mbali zaidi na kupambana kwa nguvu zote na Rais wa nchi.
Alianza awamu ya JK, alipoingia JPM akawa anamuunga mkono na...
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
Wadau nimekuwa nasikia Rais Mstaafu Mkapa ni mpatanishi huko Rwanda kati ya watawala na watawaliwa(baina ya vyama vya siasa) au Rais Mstaafu Kikwete ni mpatanishi burundi kati ya watawala na watawaliwa(baina ya vyama vya siasa) vinapokuwa vinazozana au kutokubaliana katika masuala yahusuyo siasa...
MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO 19 - VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI WATAKIWA KUENDELEA KUISAIDIA SERIKALI
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuisaidia Serikali kupambana na Ugongwa wa Virusi vya Korona ( UVIKO 19).
Mhe. Mwegelo ametoa rai hiyo...
Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa huo.
Kauli ya viongozi hao imekuja siku chache baada ya chanjo zaidi ya milioni 1 za Covid - 19...
Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba.
Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
Nimekuwa naona mara nyingi kunapokuwa na ziara ya rais wale viongozi wa dini wanaokaribishwa kufungua shughuli kwa sala/swala wanakuwa na vikaratasi wanakuwa wanavisoma, najua ntaambiwa eti ili wasikosee wakatamka visivyo, mara protokali n.k,
Hivi kwenye sala/swala kiongozi anaweza kuteleza...
Hakika inashangaza sana kwa viongozi wetu wa dini kukaa kimya juu ya suala la katiba mpya. Viongozi wa dini wameshuhudia matumizi mabaya ya katiba iliyopo yalivyofanywa na mwendazake.
Watu wengi wameumizwa sana na katiba hiyo kwani mwendazake aliweza kuitumia atakavyo. Hayati baba wa taifa...
Nikimnukuu mwanajamvi Pythagoras ktk comment yake:
[Askofu Emmaus B. Mwamakula alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti "Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Meko ame cross red line. Meko Hakumaliza hata wiki mbili tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.