Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine.
Kutokana na athari hizo zinazo...
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu.
Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri.
Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI.
Na Miko Luoga Tanga
Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
Happy New Year!.
Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine.
Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu.
Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
Naomba kuwasilisha maoni yangu kwa viongozi wetu wapendwa katika imani mbalimbali za kidini.
Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitumia upande mmoja tu wa Neno la Mungu kuelezea kuhusu umuhimu wa kuheshimu mamlaka zilizopo kwa kuwa zimetoka kwa Mungu na zimeruhusiwa na yeye kuwepo...
Amani iwe nanyi
Hali ya ukame na ukosefu wa mvua inayoendelea katika sehemu kubwa ya ardhi ya nchi ya TANZANIA sio ngeni hapa duniani. Ukiperuzi historia utaona kuwa dola nyingi huko nyuma zilikuwa zikipata vipindi ya ukame na uhaba wa chakula unaosababishwa na ukosefu wa mvua.
Kwa ambao...
Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia.
Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa hakukuwa na matunda mengine zaidi. Mwezi kama huu mwaka jana.
Hali naiona haina tofauti sana na...
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.
Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya.
Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu.
Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI.
Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.