viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa

    Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala. Hizo warsha...
  2. Pdidy

    Viongozi wa dini Kenya siyo wa kuaminika kabisa

    Wakati vijana wameingia mtaani waliitisha mkutano wakasema Rais Ruto asikilize hao vijana wanateseka wanahitaji ajira na mengineyo. Mh Ruto akagoma kusaini akaamua kuwasikiliza. Hawakurudi kumpongeza Ruto waliitisha tena mkutano wakasisitiza akae nao, Ruto akaagiza anataka kuonana na viongozi...
  3. GoldDhahabu

    Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  4. R

    Pre GE2025 Umma wa watanzania hasa VIONGOZI wa DINI, kemeeni Rushwa ya waziwazi ya Pikipiki za Rais Samia

    1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like 2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa 3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni...
  5. Abdul Said Naumanga

    Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
  6. M

    Viongozi wa dini mbioni kukosa uhalali machoni pa waumini wao

    Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA. Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani. Mambo ya ovyo yanayofanywa na viongozi wengi wa serikali hawana habari nayo kwa sababu wao wanashibishwa kwa...
  7. Heparin

    Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

    Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo hasa kwa watoto wakiume Akizungumza kwa hisia kali kwenye mkutano wa hadhara...
  8. N

    Je! Viongozi wa dini na wao wanaapa baada ya kuchaguliwa?

    Naomba kuuliza? hivi Viongozi wa dini baada ya wao kufanya uchaguzi ndani ya taasisi zao na wao huwa wanaapa kwa kutumia vitabu Vitakatifu Kama ilivyokwa Viongozi wa Serikali ?
  9. NostradamusEstrademe

    Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  10. M

    Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
  11. Roving Journalist

    Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
  12. ndege JOHN

    Viongozi wa dini wanashindwa kuwashauri viongozi wazuie nyimbo zenye matusi

    Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili. Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
  13. P

    LGE2024 Mbunge Ulanga: Viongozi wa dini wadumishe amani na utulivu kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu unapita salama

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na utulivu kuhakikisha chaguzi zote mbili; Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu...
  14. Melki Wamatukio

    Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
  15. GoldDhahabu

    Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  16. L

    Akiondolewa kwenye cheo hicho ataanza kulia lia tena na kwenda hata kwa viongozi wa dini kumwombea!

    Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama awaomba Viongozi wa Dini kuweka mkazo katika kusimamia maadili

    Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe...
  18. Y

    Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  19. M

    Makonda ziara kwa viongozi wa dini zimezidi, huenda anaandaliwa kugombea Urais

  20. Jaji Mfawidhi

    Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
Back
Top Bottom