viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord denning

    Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  2. S

    Serikali waambieni viongozi wa dini kuwa watekaji ni waumini wao waliowashidwa kwenye dini zao, waache kunyoshea vidole polisi pekee

    Viongozi wa dini ndio walezi wa kiroho na maadili wa Watanzania. Siku za hivi karibuni waneanza kunyooshea vidole polisi kuwa hawawezi kazi kupambans na watekaji na kujifanya kusikitishwa sanaaaaa usanii mtupu huo. Serikali waambieni viongozi wa dini kuwa watekaji ni waumini wao waliowashidwa...
  3. S

    Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  4. M

    Naomba kuwakumbusha viongozi wa Dini.

    Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo. Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
  5. M

    Viongozi wa Dini nyingine mpo wapi kukemea maovu yanayoendelea?

    Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini. Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni yanayoendelea. Naomba hawa viongozi wa Dini nyingine waliokaa kimya watuambie, wapo upande gani? Je, wanahusika...
  6. Z

    Pre GE2025 Viongozi wa Dini wanatakiwa kuwahimiza waumini wao kutokupokea rushwa kipindi cha uchaguzi, wachague wadilifu ili tuwe na serikali tukufu

    Tanzania imebahatika kuwa na waumini wa dini kuu mbili Ukristo na uislam. Dini hizi zinafundisha maadili ya kukataa rushwa, udadilifu, kuheshimiana, kutenda mema kwa wote ili tuweze kujikomboa kutoa umaskini hatuna budi kuchagua viongozi wacha Mungu, tena wadilifu. Utakuwa hujajitendea haki...
  7. H

    Ni wakati sasa viongozi wa dini/nyumba za ibada walipe kodi TRA

    Habarini, Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu. Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe kodi ila wanaopokea hizo hela wasilipe kodi? Huo ni ujinga mkubwa na kama kuna hoja ya maandamano basi...
  8. B

    Viongozi wa dini wapongeza uzinduzi wa akaunti ya sadaka ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango mingine inayolenga kuwarahisishia waumini kumtolea Mwenyezi Mungu wakati wa ibada au hata wanaposhindwa...
  9. M

    Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

    Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali? Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi...
  10. TODAYS

    Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  11. GENTAMYCINE

    Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

    Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo. Chanzo: East Africa...
  12. B

    Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  13. J

    Kama Wabunge wanalipwa Mishahara sioni kwanini Viongozi wa Dini wasilipwe Mishahara na Serikali. Nakubaliana na Shehe Bombo

    Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi. Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali...
  14. Inevitable

    Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  15. tamsana

    Kwanini kwenye Matukio ya Kiserikali Viongozi wa Dini hufanya maombi kwa kusoma karatasi kama risala?

    Salam! Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu wanachofanya viongozi wa Dini wanapoalikwa kwenye matukio makubwa ya kitaifa hasa yanayomuhusisha Mhe. Rais. Moja ya swali ninalojiuliza ni namna viongozi hao wanavyofanya SALA/MAOMBI kwa kusoma kama wanasoma risala. Nauliza ndio utaratibu wa serikali...
  16. R

    Wanasiasa wameingia rasmi kwenye mwaka wa harambee kwenye nyumba za Ibada; viongozi wa dini changamkieni fursa

    Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
  17. realMamy

    Maendeleo ya Utandawazi mwiba kwa baadhi ya viongozi wa dini na Kiserikali

    Sasa hizi ni kawaida kwa matukio kuchukuliwa na vifaa mbalimbali ikiwamo Simu. Kibaya zaidi hata uongee mazuri kiasi gani watu watatoka na baya moja tu. Umakini unahitajika katika kipindi hiki ambacho kila mtu ni Mwanahabari.
  18. K

    Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

    Anaandika Askofu Bagonza Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali: 1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk. 2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze...
  19. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Kinana: Rushwa ni adui wa haki, Dini zote zinakataza na chama chetu kinakataza

    KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi. Amesema hayo wakati...
  20. Escrowseal1

    Wanasiasa na viongozi wa dini ni tishio kubwa la ustawi wa jamii ya watanzania na Afrika

    Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha ustawi wa watu wetu. Viongozi wanajipatia ukwasi usiomithirika kwa kuwanyonya wananchi mafukara sana...
Back
Top Bottom