Hao ni wajinga wa wapi wasiojuwa maana ya amani ni nini?Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.
Hii mijitu mingine mipumbavu inaimbishwa tu maneno bila hata ya kutafakari hayo maneno kwa nini yanatumika kwa ulagghai kuwapumbaza akili tu!Shame on them, hawa viongozi wa kidini wasitumike kisiasa mbuzi hawa! Kwani wameona nchi haina amani? Kama wanaona nchi haina amani wakemee hao wanaovunja amani kwa kusigina haki za wananchi, mbuzi hao waache unafiki