Wataliban wamekataa ombi la Rais wa Marekani Donald Trump la kurejesha kambi ya kijeshi ya Bagram, wakisisitiza kuwa uhuru na mipaka ya Afghanistan ni muhimu na Marekani iheshimu makubaliano ya awali.
Bagram, kambi kubwa zaidi ya Marekani nchini Afghanistan, ilitumika kama ngome kuu wakati wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea.
Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
Baada ya miaka mitatu bila vita nchini kwao., Wataleban wanasema wamechoka kukaa ofisini na sasa wanataka kupigana vita.
Msemaji wa Taleban Mullah Janan, alinukuliwa akisema "Tuna kiu ya vita sasa, tunatarajia tutapigana vita karibuni, tumechoka kukaa tu ofisini na tunategemea karibuni tutakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.