Trump mbioni kuirudisha kambi ya kijeshi ya Bagram, Taliban wakataa ombi hilo

Trump mbioni kuirudisha kambi ya kijeshi ya Bagram, Taliban wakataa ombi hilo

Digitaldreamer

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2022
Posts
879
Reaction score
1,578
Wataliban wamekataa ombi la Rais wa Marekani Donald Trump la kurejesha kambi ya kijeshi ya Bagram, wakisisitiza kuwa uhuru na mipaka ya Afghanistan ni muhimu na Marekani iheshimu makubaliano ya awali.

Bagram, kambi kubwa zaidi ya Marekani nchini Afghanistan, ilitumika kama ngome kuu wakati wa vita vya miaka 20 vilivyoanza baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001. Mamia ya watu walifungiwa humo bila kesi na wengi waliteswa.

Baada ya Marekani kujiondoa mwaka 2021 na serikali ya Kabul kuanguka, Wataliban walichukua kambi hiyo. Trump ameonya kuwa “mambo mabaya” yatatokea iwapo haitarejeshwa

====================

The Taliban has rejected United States President Donald Trump’s demand that it hand over the Bagram airbase that Washington ran during its 20-year war in Afghanistan, dismissing Trump’s threat that “bad things” will happen if this does not come to pass.

The Taliban said on Sunday that “Afghanistan’s independence and territorial integrity are of the utmost importance” and called on the US to uphold prior agreements that it would not resort to force.

“Accordingly, it is once again underscored that, rather than repeating past failed approaches, a policy of realism and rationality should be adopted,” Afghanistan’s rulers said.

Bagram, which was the US’s largest military site in Afghanistan, is a large airbase located 50km (31 miles) north of Kabul that served as one of the US’s key military hubs during its two-decade war against the Taliban. The war, which followed the September 11, 2001, attacks in New York and Washington by al-Qaeda, ended in 2021 with Washington’s abrupt and chaotic withdrawal from Afghanistan.

Thousands of people were imprisoned at the site for years without charge or trial by US forces during its so-called “war on terror”, and many of them were abused or tortured.

Source: Al Jazeera
 
Kama alishindwa kwa miaka 20, ataweza sasa................atishe wengine, lakini sio jamaa wa kuvaa Pyjama.

Hawa, kufa kwao ni harusi, fikiria walimshinda Mrusi nae Mwamerika akaoga.......hawa ni 'wrong number'
 
Kama alishindwa kwa miaka 20, ataweza sasa................atishe wengine, lakini sio jamaa wa kuvaa Pyjama.

Hawa, kufa kwao ni harusi, fikiria walimshinda Mrusi nae Mwamerika akaoga.......hawa ni 'wrong number'
Inawezekana ikawa ni machafuko mengine, Afghanistan saivi pametulia kiasi , Marekani ndio chanzo cha migogoro mingi duniani.
Ni kanakwamba bila ya vita Marekani haiwezi ikaishi
 
Taliban walisaudiwa na mrusi ndio maana mmarekani alipata tabu sana kule, kwasasa urusi ana vita yake ni ngumu kuwasaidia talibani.

Sasa hivi mmarekani anaweza kuingia akawachapa mpaka wakahama nchi.

Syria ilikuwa ngumu wakati russia alikuwa anamsaidia Al Asaad, alipoanza vita na Ukraine Asaad ilibidi akimbie mwenyewe.

Na Trump diyo mjinga keshafahamu kwasasa Russia hawezi kuisaidia Afghanistani hiyo base atachukua vizuri tu.
 
Taliban walisaudiwa na mrusi ndio maana mmarekani alipata tabu sana kule, kwasasa urusi ana vita yake ni ngumu kuwasaidia talibani.
Mrusi ndie alienza ngoma na Afghanistan, baada ya kuchemsha akaaondoka kimya kimya, kumbuka CIA wakitumia Osama bin Laden........mrusi alipotoroka ndio akaingia Mwamerika.

Ukweli ni kua kuna watu wameweza vita kwa mda mrefu ni hawa jamaa....
 
Back
Top Bottom