viongozi wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Masikini Nchi Yangu, Tanzania, Tunakosa Viongozi Wazuri kwa Dhulma!. Waliokatwa kwa Zengwe, Wangegombea as Independent, Wangeshinda!.

    Wanabodi, Kwa political dynamics ya siasa zetu, mtu ukiishapitishwa na CCM, wewe ndio Mbunge!, uchaguzi ni process ya kukamilisha tuu taratibu za kikatiba kuhalalisha!. Nimeyaona majina ya wagombea walioteuliwa na chama, miongoni mwao kuna the best, the good, the bad and the ugly as well as...
  3. F

    JamiiForums Tanzania CCM, CCM, CCM Nimewaita mara 3. Ongezeni siku za kuchukua fomu. Mnapoteza viongozi wazuri wengi na pia mapato

    Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!. Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya kusaka laki 5 za fomu za ubunge. Comrades Mheshimiwa Rais Samia, Dr Nchimbi, CPA Makala na Mongela...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wazuri wako CCM, hata ukinuna shauri yako

    Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini. Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…