Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis?
Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao ingefanikiwa sana. Wawaazime tu hata kwa week moja tu inatosha.
Haya ni maoni yangu kutokana na utendaji wao mkuu wa mambo mbalimbali hapa nchini. Nadhani kwa sasa wakapewe uongozi kule Iran.