viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Huduma za VVIP na malipo kwa viongozi wa majeshi na wastaafu ziwe kwa watumishi wote wa umma au zifutwe

    Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi! Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96 Lakini kuna hizi mambo kwa baadhi tu ya watu lakini wengine wanalia na njaa Kuna haja gani wakuu wa majeshi...
  2. T

    Viongozi wengi wa dini wapo kimaslahi na wala msisemee askofu shoo kwa maneno yake

    Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
  3. K

    LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  4. K

    Barabara ya Mtaa – Nyamanoro (Mwanza) ni mateso kwetu au viongozi wanasubiri watumie kama ahadi wakati wa Kampeni?

    Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu. Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
  5. MakinikiA

    Ni bora kuwa na maarifa kuliko elimu

    NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
  6. Thabit Madai

    Pre GE2025 Usawa wa Viongozi wanawake na wanaume bado ni kitendawili

    NA AMRAT KOMBO, ZANZIBAR Usawa wenye hadhi sawa unamaanisha kwamba watu wote katika jamii wanapaswa kuwa na fursa sawa za kushiriki katika ngazi ya maamuzi na uongozi. Hali hii inategemea muktadha wa kisiasa,kiuchumi na kijamii . Ingawa kuna ongezeko la uwakilishi wa wanawake katika Bunge...
  7. chiembe

    Viongozi wa dini wampinga Rutto kujiongezea muda wa urais uwe miaka 7

    Hii hatari tuiepuke, wenzetu wamenogewa, wanataka kujiongezea muda wa urais na ubunge kwa miaka saba! Idumu katiba ya 1977.
  8. Z

    Swali; viongozi wa umma wanapokuwa mbele ya media ni full uongo

    Tahadhari usimwamini sana mwanasiasa wa kiafrika akiwa mbele ya camera, kwanini waongo hivi?
  9. Kinjekitile Jr

    Ukweli mchungu: Hizi damu zinazomwagika za viongozi wa CHADEMA zinatoa picha mbaya na nzuri huko tuendako

    Wasalaam ndugu wana JF! Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah...
  10. Stephano Mgendanyi

    Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
  11. JanguKamaJangu

    Viongozi wawili wa upinzani wauawa kwa risasi Msumbiji

    Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo MSUMBIJI: Watu wenye silaha wamesababisha vifo vya Wanasiasa wawili wa Chama cha Upinzani ambao ni Wakili Elvino Dias...
  12. Vichekesho

    Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

    Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo. Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao...
  13. M

    VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

    Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba! Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na...
  14. kipara kipya

    Viongozi wa CHADEMA huwa hawana ulinzi?

    Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama. Ina maana ni mchana kweupe, Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke...
  15. Bams

    Saudi Arabia Yawataja Wapiganaji wa Hezbollah na Hamas, na Viongozi Wao Kuwa Ni Magaidi

    Iran na makundi yake iliyoyapandikiza ndani ya nchi za kiarabu, serikali za nchi za kiarabu, inayatambua kuwa ni makundi ya kigaidi yaliyopandikizwa nchini mwao ili kuzidhoofisha serikali za nchi hizo kwa maslahi ya Iran. Baadhi ya watu, huku kwetu hawalijui hilo. Wao wanaamini kuwa nchi hizo...
  16. M

    Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  17. L

    Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

    Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo Kama lawama basi apewe Kijiri...
  18. mkuruga

    Chadema KOROGWE MJI wapata viongozi wapya

    Atimaye Jana terehe 18/10/2024 chadema Jimbo la KOROGWE wamepata viongozi baada ya uhaguzi wa kidemoxrasia kufanyika ambapo nafasi mbalimbali kugombaniwa ambapo nafasi ya mwenyekiti aligombaniwa na wagombea watatu ambazo ni kamanda John mapunda alikuwa anatetea nafasi yake Ezekiel mbwilo pamoja...
  19. chiembe

    Kwanini viongozi wa CHADEMA wako karibu mataifa yanayounga mkono uonevu?

    Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo. Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi...
  20. U

    Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Back
Top Bottom