Moja kwa moja kwenye mada:
Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine.
Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...