viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  2. chakii

    Uzushi unaolenga kuwarejesha gerezani viongozi wa CHADEMA

    Habari wanaJukwaa Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  4. MIXOLOGIST

    Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

    Kwa hasira kuu. Huu uchawa pro-max ukome. Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona. TUMECHOKA...
  5. K

    Barua kwa viongozi vijana. Badala ya kuiga watangulizi badilisheni mfumo

    Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa, Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia taifa. Viongozi ambao wanafikiria watapata vipi pesa kutokana na kodi na rushwa. Viongozi ambao...
  6. U

    Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha hukoo "CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima" "Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
  7. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  8. B

    Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  9. Webabu

    Viongozi kaskazini ya Israel wasema wanakatisha mawasilano na serikali.Hawataki tena udaku.

    Viongozi wa mabaraza ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wamesema wameamua kukatisha mawasilano na serikali baada ya kuwatelekeza kwa zaidi ya miezi 10. Wamesema hawataki tena kupigiwa simu wala kutumiwa ujumbe baada ya serikali kuwadanganya kwa muda mrefu na kushindwa kuzuia...
  10. chiembe

    Serikali ichukue hatua dhidi ya viongozi wa Serikali waliochukua viwanja Chato ili wavijenge, baada ya Magufuli kufariki, wamevitelekeza

    Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara. Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa...
  11. R

    Kwanini viongozi wa kitaifa, wanasiasa wa CCM ,Wabunge na viongozi waandamizi Serikalini hawazungumzi wala kukemea utekaji nchini?

    Mwaka 2024 umekuwa mwaka ulioibua utekaji na mauaji yasiyochinguzika. Umekuwa mwaka wa kuzipiga vita 4R kwa minajili ya kukwamisha juhudi za maridhiano zilizokuwepo swali. Umekuwa mwaka ambao vitendo vya kikatili vimeongezeka na kelele zimekuwa zikipigwa na wanasiasa na hata wananchi kama...
  12. TODAYS

    Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  13. Morning_star

    Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  14. M

    Ni viongozi gani wanastahili kuitwa "Waheshimiwa"?

    Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande! Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
  15. comte

    Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  16. W

    KERO Viongozi wa Serikali za Mtaa Skanska Mashimoni, mnatarajia tuwachague tena mwaka huu kwa mazingira haya?

    Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu, japokuwa hiki ni kipindi cha jua kali bado madimbwi ya maji machafu yamejaa kila kona. Najiuliza kwa...
  17. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 CHADEMA yadai Viongozi wake Wilayani Temeke wameshikiliwa, Polisi wakana

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani Temeke kinyume cha sheria, Jeshi hilo limesema halina taarifa kuhusu madai hayo. Kwa mujibu wa Chadema...
  18. Pendaelli

    Hivi viongozi wetu wanatenge muda kufuatilia maazimio yao walio fanya jana kabla hawajafanya maamuzi leo?

    Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
  19. The Palm Beach

    Pre GE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  20. Roving Journalist

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
Back
Top Bottom