Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana?
Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa?
watu wakikumbuka ya tarehe 29 october yaliyotokea na haya yanyakua nyakua yanayoendelea nchi inawezaje kuwa na amani?
Mimi na amini mkikaa na kujadili nyie wenyewe mnajuwa umma unahitaji nini ni mambo gani yafanyike kwani kilio chao kinajulikana.
Mkiamini kuwa kuhubiri amani mtafanikiwa nikujidanganya nyie wenyewe? Mjue kuwa watu wanahitaji wapendwa wao waliotekwa na kupotea.
Nawakumbusha tu dhana yakuongoza nchi kwa laghai na hadaa mkae mkijuwa siyo kizazi cha sasa , wananchi wapeni madai yao nchi itulie msifikrie kuongoza wananchi kwa mijeledi ya kuteka na kupoteza huku mkihitaji amani hiyo amani haitokuja kupatikana.
Hivyo vyeo mlivyonavyo mpo kwa ajiri ya kuongoza watu gani? Kama mnaongoza wananchi kwanini msitekekeze madai yao ?
Mimi nimewapa ushauli tu lakini mjue kuwa amani na haki havitengamani endeleeni kujilisha upepo mkiamini mtafanikiwa .