Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24.

Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
 
Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24.

Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
🥺🥺🥺🚯🚯🚯
1766440212718.jpg
 
Kiapo Cha jeshi huwa Mimi ......nitakuwa mtiifu Kwa amri jeshi mkuu kulingana atakavyonituma.Amri jeshi anaweza kuwaambia wasile mwezi mzima wanatii
 
Hili hili jeshi ambalo takribani asilimia 87 wana vitambi kama mjamzito mwenye mimba ya miezi 8!!??? Tuombee tu nchi yetu haina vikundi vya waasi ila ingekuwa ni disaster.maana hakuna jeshi ni mabwanyenye yaliyovaa combat za jeshi na kujifanya kukunja sura wakiwa wengi kwenye vifaru vinavyopita kwenye lami ili kuwatisha watu wanaotaka kuandamana
 
Back
Top Bottom