Huko Kuna dalali mkuu malasusa waliemsimika waoNimeshuhudia Viongozi vya Katoliki wakikimbilia kwenye mimbali za KKKT krismas hii huko Roma kumekuwa kugumu awamu hii.
Muwe na krismas njema
Kwa hiyo nafasi waliyomuweka sasa. Asahau kuhusu urais 2030. ASAHAU.Mwigulu ni mlutheri hakuna wa kumpiga mkwara eti asizungumze kanisani.
Pia anaonekana kuutafuta urais wa 2030 na Samia kamuachia kimtindo nafasi ya kujenga kukubalika mbele ya umma.
Kwa hiyo nafasi waliyomuweka sasa. Asahau kuhusu urais 2030. ASAHAU.