Wakati wa Magufuli alishutumiwa na Upinzani hasa CHADEMA kwamba ni maendeleo ya vitu yaani SGR, Ndege, Bwawa la kuzalisha umeme> 2000 MW, Flyovers vyote hivi walikejeli ni maendeleo ya vitu.
Sasa leo hii wako Madarakani kuna maendeleo ya nini? Maji hakuna, Umeme hakuna, Usalama wa raia na mali...