vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    Tujikumbushe vipimo vya magurudumu ya magari

    Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in millimeters. In this example, the tire is 205 mm wide. Wider tires usually offer better grip. 2. Aspect...
  2. B

    Msaada wa dawa na vipimo kwa mtoto

    Habari ndugu kaka zangu na dada zangu wa Jf kwema habari za mida hii, poleni na majukumu ya kujenga TAIFA Natumaini ni wazima kwa afya na mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ASAIDIE! ndugu zangu nimekuja na shida kidogo Nina mtoto mdogo hapa kidogo Hali yake imebadirika Toka asubuhi niliona kama...
  3. M

    Majibu ya vipimo Electrocardiogram (ECG)

    Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
  4. Dear_me_

    Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  5. M

    Vipimo vipi vitathibitisha kuwa Figo zimefi

    Habar wakuu nauliza ni vipimo vipi vyakupima ili kuthibitisha kuwa Figo zimefi
  6. Mindyou

    Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  7. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  8. M

    Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  9. M

    Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  10. Aliko Musa

    BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  11. Roving Journalist

    Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  12. S

    Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  13. Yoyo Zhou

    Marekani yatumia vipimo tofauti katika suala la dawa za kusisimua misuli

    Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume uliofanyika hivi majuzi, na kusaidia timu ya Marekani kuingia nusu fainali kwa nafasi ya kwanza. Hata...
  14. Tanzanian Dream

    Vipimo kumi vya Uanaume

    Habari wanaharati wenzangu! Juzi tarehe 16/06/2024 ilikuwa ni siku ya Wababa duniani. Sasa tukiwa bado na lile vibe la kukumbukwa 😂🤣 sio vibaya ujipime hapa ili ujue kama wewe ni real au ndio wale feki waliojaa mitaani. Uanaume ni zaidi ya kuwa na jina na jinsia ya kiume, ni zaidi ya kuwa na...
  15. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  16. M

    Msaada: Udhamini wa vipimo na matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
  17. M

    Msaada: udhamini vipimo/ matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...
  18. D

    Tofauti ya matumizi ya magurudumu (tairi) zenye vipimo hivi?

    Nina gari aina ya van. Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13. Baadhi ya wenye magari kama langu wanatumia magurudumu yenye kipimo cha 175 na 185 badala ya 165. Naomba...
  19. Stephano Mgendanyi

    Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
Back
Top Bottom