vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwehu ndama

    Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

    Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
  2. Suley2019

    Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

    Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
  3. Analogia Malenga

    Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
  4. Erythrocyte

    #COVID19 Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  5. C

    Vipimo vya presha vinanichanganya

    Leo nimepima presha nimepata katika vituo vitatu tofauti majibu yamekuja tofauti tofauti. Cha kwanza ilikuja 152/80/67 nikamwomba arudie ikaja 146/79/68. Nikenda kituo cha pili nilipata 156/83/64 nikamwomba arudie ikaja 132/84/69 nikaenda kituo kingine nikapata 130/78/71. Wataalamu naombeni...
  6. T

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  7. jingalao

    Vipimo vya awali vya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu!

    Rest in peace John Pombe Magufuli. Hongera kwa Mh Rais Samia kwa kukamata kijiti. Mimi nikiwa muumini wa Sera na utekelezaji wa Ilani ya CCM nachelea kusema vipo vigezo muhimu vitakavyoelezea utendaji kazi wa Mh Rais Samia katika awamu ya sita ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa yale Serikali ya...
  8. Sky Eclat

    Uchaguzi 2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  9. Miss Zomboko

    #COVID19 Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hotelini

    Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki. Hii inafuatia kuletwa kwa ripoti ya maabara ya elektroniki ya Covid-19 na Wizara ya Afya ya Zanzibar, Maendeleo ya...
  10. E

    Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili

    Habari wakuu, Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa. Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa...
  11. Nafaka

    Hivi Madaktari wetu huwa wanashindwa kutafsiri matokeo ya vipimo?

    Nimekuwa nikisikia habari za mtu kuambiwa na ugonjwa huu akawa anatibiwa ugonjwa kwa muda mrefu halafu baadae inakuja kugundulika hana huo ugonjwa. Kuna mdada aliwahi kuhojiwa, aliambiwa na kansa akawa anachomwa mionzi kwa muda wa miaka 2 hadi wakataka kumkata ziwa, ila familia ikampeleka India...
  12. K

    Gharama za fundi Kupaua nyumba hii ya flat roof(picha)

    Nawasalimu wanajamvi. Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti...
  13. B

    Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

    25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona...
  14. The Mongolian Savage

    Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

    Mzuka wanajamvi Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako. Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
  15. D

    Kwanini zile karatasi za vipimo vya mgonjwa zahanati binafsi huwa hairuhusiwi kuondoka nazo? Ni utaratibu sahihi wa tiba au ni uhuni?

    Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini! Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni? Wajuvi tujuzeni!
  16. Cannabis

    #COVID19 Mganga mkuu wa serikali aagiza majibu ya vipimo vya COVID-19 kutolewa baada ya saa 24

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi...
  17. Kurzweil

    Coronavirus: Matokeo ya vipimo 18,000 vya walioambukizwa COVID19 zachapichwa kimakosa

    Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo waliyopo pamoja na jinsia za waathirika. Ingawa watu wameondolewa wasiwasi kuwa si rahisi wahusika...
  18. M

    Vipimo vya UTI

    Habarini? Naomba kufahamu, je vipimo vya UTI vinaweza kuonyesha ujauzito? Na kama vinaweza je hata ujauzito wa siku tano unaweza kuonekana? Ahsanteni.
  19. 1987SANAWA

    Kutozingatia vipimo vya utendaji kazi kwa Taasis za umma

    Ofisi za umma/serikali zinatumia OPras kama kipimo cha utendaji kazi ambapo mtumishi anakubaliana na kiongozi wake majukumu atakayotekeleza jambo ambalo ni zuri, mtumishi anaetekeleza majukumu yake anapaswa kupewa motisha mbalimbali kama kupandishwa cheo na motisha zingine, ila cha kusikitisha...
  20. Yoyo Zhou

    VLOG: Jinsi vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona vinavyochukuliwa China

    Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya kimataifa. Je, China inafanya vipi vipimo hivyo? Kwa mfano wa mji mkuu Beijing, tunaangalia kwa undani...
Back
Top Bottom