vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

    Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
  2. Kingsmann

    Clara Luvanga aitwa na FIFA kwa Ajili ya Vipimo

    Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri. Huyu...
  3. Idugunde

    Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  4. Ryder2

    Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  5. MOONFISH

    MADAKTARI: Vipimo vya UTI kama ni hivi ni balaa

    Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali mbalimbali, ili kuthibitisha malalamiko ya Mwanahamisi. Jaribio la kwanza ‘‘Saa 6:30 mchana natoka Mabibo...
  6. BARD AI

    UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    “Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
  7. M

    Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

    Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya. Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani. Sasa huyu...
  8. A

    Vipimo vya Ramani hii

    Habari wakuu. Mwenye vipimo vya hii ramani naomba
  9. DR HAYA LAND

    Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  10. JanguKamaJangu

    Huu ndio utaratibu wa kufanya vipimo vya DNA kutambua kama mtoto ni wako au la!

    Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi. Wakili Bashir...
  11. royal tourtz

    Mtu anayetumia ARV kwa muda mrefu virusi huwa havionekani kwenye vipimo vidogo?

    Kwa manufaa ya tusiojua na wanaojuwa watuhakikishie zaidi. Iko hivi hapa kazini kwangu jirani kuna duka la madawa,hivyo dada muuza dawa huwa tunapiga story za hapa na pale kiasi. katika story tukajikuta tunaongelea maambukizi ya UKIMWI. ndio nikamuuliza inawezekana kuna watu wanaleta dawa za...
  12. Masokotz

    Vipimo Saba vya Ufanisi wa Kimkakati katika biashara

    Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...
  13. heartbeats

    Amepima akakuta ana damu nyingi. Njia ipi ni rahisi ku-level damu?

    Wakuu msaada kwa ilo ni njia ipi rahis ya kupunguza wingi wa damu ukiacha ile ya kuchangia damu. Jinsia yake ni Ke,
  14. Lee

    Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  15. Ncha Kali

    Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

    Ndugu zangu! Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA. Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja. Natanguliza shukrani.[emoji1488] Ncha Kali.
  16. WOLF SEPTICEMIA

    Natafuta anayeuza duka la dawa au maabara ya vipimo

    Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
  17. B

    SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  19. ndege JOHN

    Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  20. Zero IQ

    Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

    Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito, Mrejesho. Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi, Nimeamka...
Back
Top Bottom