vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Vipimo vya ulevi BAC

    Tuondoe siasa na tutumie sayansi. Polisi wana kipimo cha kupumua na hospitali wanapima damu. Yaani Dr huwezi kusema mtu kalewa tu hovyo maana dawa nyingi haziendani na pombe ni lazima ujue kalewa kwa kiasi gani kisayansi kabla ya kutoa dawa. Kama mtu alikuwa chakari basi watueleze ilikuwaje...
  2. #COVID19 Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  3. Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa. Mkuu wa Wilaya...
  4. Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

    Wasalam Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam. Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo ,wakaanzisha mahusiano kama miezi kadhaa kwa vile nurse alikuwa mbali na yeye alikuwa anamueleza kuwa...
  5. Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  6. F

    Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  7. J

    Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

    Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama. Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
  8. CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19

    Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale. Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake...
  9. CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

    AFRIKA CDC: VIPIMO VYA #CORONAVIRUS VINAVYOTUMIKA TANZANIA VINAFANYA KAZI VIZURI Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Afrika CDC) amenukuliwa na Reuters akipinga madai ya Rais Magufuli kuwa huenda vipimo vya #CoronaVirus nchini vina shida ya kiufundi Dkt. John Nkengasong...
  10. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
  11. Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  12. Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  13. Ukiona wanavyotamba hapa utafikiri vipimo vimepamba moto

    Kumbe mzaha mwingi tu. Oh tunapima nchi nzima sijui nini, halafu mambo yenyewe ni fujo tupu, duh.
  14. S

    Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  15. CHINA: Tumebuni mfumo wa kupata vipimo vya CORONA ndani ya dakika 15

    China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika...
  16. Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  17. Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  18. Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

    Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu Nawasilisha.
  19. Fahamu vipimo mbalimbali vya picha vinavyotumika hospitalini kuchuguza magonjwa

    Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini. NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani. 1. KIPIMO CHA ULTRASOUND Ultrasound ni kipimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…