Tabia ni kama ngozi, haivuliki kirahisi.
Hata mwenye tabia ya wizi, akikaa bila kuiba na akaishiwa kabisa hadi pesa ya kula, atakuwa mpole ila ukimsaidia akichangamka atakuibia tu.
Watu wengi sana leo hawana kazi, wanasema wako tayari kufanya kazi hata mochwari za marehemu wa ajali mbalimbali...
Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine.
Mbona...
Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza.
Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi...
Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi.
Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
Habarini wadau!
Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni.
Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
Kwa wadogo zangu:
Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi.
Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa
Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali
Hata miundombinu mipya kama vile...
Ni ukweli usiopingika kuwa tukivizungumzia vyombo vikubwa vya habari nchini, hatutasita kulitaja shirika la habari Tanzania.
Hii ni kutokana na ukongwe na jina lililojijengea kutoka radio Tanzania hadi TBC na hata uwezo wa kuwafikia wanachi Tanzania nzima.
Ni wazi kuwa mfumo uliokuwepo awali...
Kipindi cha Kwanza
Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half.
Kipindi cha Pili
Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie...
Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
Habari zenu wanajamii?
Poleni na majukumu ya kutafuta riziki.
Nakuja mbele yenu nkiwa na swali ambalo linnitatiza na nadhani ninaweza pata jibu hapa JF.
Vituo vya televisheni au makampuni ya ving'ämuzi yanatumia vigezo gani katika kukubali maudhui ambayo mimi kama muandaa maudhui...
Uongozi wa kituo cha televisheni cha Star Tv.chenye maskani yake jijini Mwanza,kimetangaza kusitisha uzalishaji wa vipindi vyote vya ndani kuanzia leo Januari 18,isipokuwa taarifa za Habari,BBC Swahili,na vipindi vingine vilivyolipiwa na uandaaji wake hufanyika nje.
Taarifa iliyotolewa kwa...
Hapo mwanzo nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vya radio...ila niliacha kutokana na kuwa bize na harakati za maisha,nilipenda kufuatilia kutokana na mpangilio mzuri wa vipindi na maudhui yake.
Huku kwetu hakuna radio yoyote isikilizwayo zaidi ya TBC Taifa na TBC Fm kwahiyo haina...
Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi.
Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
Mmoja wa wadau katika warsha ya uandaaji wa maudhui ya ndani iliyoandaliwa na TCRA alionesha masikito yake kuwa analazimika kuandaa vipindi vinavyotetea tozo japo yeye binafsi hakubaliani na tozo za kwenye miamala ya fedha kwenye simu na benki.
Mdau huyo amesema " Nazungumza uongo mbele ya...
Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya.
Kinachotakiwa kufanyika...
TCRA Please take note.
Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi.
TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua.
Ujumbe:
Dear Parents/Guardians.
This is to bring to your notice that the cartoon channel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.