vipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    ITV wametoa tamthiliya ya uzalo kutoka saa 1:30 wakaweka tamthiliya nyingine muda huo

    Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
  2. sanalii

    Miezi 6 baada ya kumaliza chuo ni moja ya vipindi vigumu sana

    Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia, Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
  3. M

    Siku hizi Clouds 360 kama hawana vipindi hivi hasa yale majadiliano kunani?

    Nimeona kimya wiki sasa inakatika akina Sam Mlaasali na wengine hakuna.
  4. The unpaid Seller

    Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  5. M

    Kwanini nividharau Vipindi vyote vya Michezo vya Redio, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo Tanzania?

    Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni..... "Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
  6. L

    Hii imekaaje? Clouds Radio na EFM kuendesha kamari katika vipindi vyao?

    Kumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi. Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau. Mwisho wa vipindi huwapigia...
  7. Christopher Wallace

    Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  8. Afisa Mteule Drj 2

    Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  9. M

    Bado kuna mwenye Swali juu ya Unafiki mkubwa wa Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redio za Tanzania?

    Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake" Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana... "Haji Manara hana...
  10. Mung Chris

    TBC acheni tamaa hamuwezi kurusha vipindi viwili live kwa mara moja TV moja

    Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku...
  11. B

    Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  12. TheDreamer Thebeliever

    Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  13. Kingsmann

    HESLB wanatoa wapi pesa za kudhamini vipindi vya redio?

    HESLB ni wadhamini wa kipindi cha Powerbreakfast cha Clouds FM, swali ninalojiuliza hapa ni kwamba inakuwaje taasisi ya serikali ambayo ni non-profit institution inajigeuza kuwa profit-based institution? Sielewi lengo lao la kujitangaza ni nini. Hawana ushindani wowote, hawana mtu...
  14. mtamanyali

    Ushauri kuhusu vipindi vya radio na TV

    Wadau poleni na majukumu, Naombeni tushauriane kuhusu namna biashara ya vipindi vya radio na tv inavyoweza kumlipa mtu. Binafsi napenda sana kuwekeza katika media yaani naweza buni tv au radio program yangu then nikaenda kwenye media kuihost sasa sijajua kwa kina hasa naweza kufaidika kwa...
Back
Top Bottom