Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864 371...
Viroba unaweza kuweka unga au nafaka mbalimbali Bei zetu ni nafuu sana
Kg50 ni 800
Kg25 ni 600...